iqna

IQNA

Muhammad Abdul Aziz Hassan
Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 11
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Muhammad Abdul Aziz Hassan alikuwa na umahiri wa kipekee katika ustadi wa usomaji (qiraa) Qur’ani ambapo baadhi ya wataalamu wanasema wasikilizaji wanahisi kuwa Qur’ani inateremshwa kwao wanaposikiliza kisomo cha Ustadh Hassan.
Habari ID: 3476120    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 10
TEHRAN (IQNA) - Misri imeweza kuibua wasomaji wengi mashuhuri wa Qur’ani ambao wamevuma katika ulimwengu wa Kiislamu. Mmoja wao ni Sheikh Muhammad Abdul Aziz Hassan , qari ambaye aliweza kuingiza mitindo ya zamani na ya kisasa na kuunda mtindo wake wa qiraa ya Qur'ani Tukufu kusoma.
Habari ID: 3476105    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17